2 Aprili 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 306151
Wananchi wa 2 wameuawa nchini Bahrain, mmoja kati ya hao ni (Hadj Husein Majid Hasan Al Majid)mwenye umri wa miaka 70 na mwengine (Ahmad Isamil Hasan)mwenye umri wa 22, na mauaji hayo yameongeza idadi ya walouawa nchini Bahrain kufikia 82.